×

Rais Samia Akutana na Job Ndugai Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 12, 2022 amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Leave a Comment