×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 19 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Leave a Comment