×

Makamu wa Rais Aondoka Nchini Kuelekea Ethiopia Kumuwakilisha Rais Samia

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Februari 4, 2022 amendoka Nchini kuelekea Addis Ababa Nchini Ethiopia kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wae 35 wa wakuu wa Nchi na serikali wa umoja wa Afrika (AU) unaotarajiwa kufanyika Februari 5, 2022 na  Februari 6, 2022

 

Leave a Comment