×

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi – Ujenzi Wa Mradi Wa Maji Mugango, Mara-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kama ishara kuweka jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi wa Mugango-Kiabakari-Butiama katika Kijiji cha Mugango Wilaya ya Musoma Vijijini Mkoani Mara leo tarehe 06 Februari, 2022.
Rais  Samia  aweka jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi wa Mugango-Kiabakari-Butiama katika Kijiji cha Mugango Wilaya ya Musoma Vijijini Mkoani Mara leo tarehe 06 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Februari 06, 2022 ameweka jiwe la msingi Katika Mradi wa Maji Mugango, Kiabakari na amezungumza na wanachi wa eneo hilo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment