Rais Samia Ashiriki Uwekaji Jiwe La Msingi Wa Barabara Dodoma (Picha+Video)
Global Publishers February 9, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya mzunguko wa nje katika mji wa Dodoma itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa Kilometa 112.3 katika Sherehe zilizofanyika katika eneo la Veyula Jijini Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 09, 2022 anashiriki Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya mzunguko wa nje katika mji wa Dodoma itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa Kilometa 112.3 katika Sherehe zilizofanyika katika eneo la Veyula Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto, wakiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje katika mji wa Dodoma itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa Kilometa 112.3 Hafla hiyo imefanyika kwenye Sherehe zilizofanyika leo tarehe 09 Februari, 2022 katika eneo la Veyula Jijini Dodoma.