




Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB imekabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupunzikia askari wa kitengo hicho ambapo makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam.