OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ametupa kijembe kwa watani wao wa jadi, Simba baada ya kufanikiwa kumaliza mzunguko wa kwanza wakiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na kuiacha Simba alama 8 bila kuwa na mchezo wa kiporo.
“Simba hawana viporo na tumewazidi alama 8, wakija kushtuka wamechelewa,” amesema.