Kutoka Mkoani Arusha Sinoni Engasheratoni Mwanamke anaefahamika kwa jina la Viviani Mmari Amelalamika kupigwa na mume wake hali iliyopelekea kupata madhara katika Jicho lake upande wa Kulia, ikiwa ni ukatili mwingine kwa wanawake…aangua kilio wakati akisimulia mkasa wake wa kusikitisha.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx