×

Suprise! Yanga Walivyomtembelea Mtoto Ally Anayeumwa

Jana Machi 03, 2022 wachezaji na viongozi wa Klabu ya Yanga wamefika Upanga, Jijini Dar es salaam kumtembelea kijana Ally ambaye licha ya changamoto kubwa ya kiafya anayopitia ni shabiki wa damu wa klabu hiyo.

Leave a Comment