×

Msuluhishi wa Ukraine Kwenye Mzozo wa Kivita Auawa

Msuluhishi wa Ukraine kwenye mzozo wa kivita dhidi ya Urusi ameuawa na baada ya maafisa usalama wa Ukraine kugundua kuwa ni mpelelezi wa aliyetumika pande zote mbili.

 

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Denis Kireev amesema opareshin hiyo ya kumuua mpelelezi huyo imetekelezwa na kitengo cha usalama wa Taifa cha taifa hilo baada ya kukataa kujisalimisha.

Urusi na Ukraine wametoa shutuma kuwa alikuwa mpelelezi aliyetumika kwa mataifa yote mawili.
Gazeti la Urusi Pravda kumeripoti kuwa Usalama wa Taifa wa Ukraine ulipata ushahidi wa mawasiliano ya jamaa huyo ambayo yaliashiria kuwa anatumika na pande zote mbili.

Kachero huyo alikuwa sehemu ya timu inayoshugulika kupatikana kwa suluhgu kati ya Ukraine na Urusi.

Leave a Comment