×

Manara Atangaza Mechi Ya Kirafiki Yanga Vs Somalia – Video


MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Manara, leo Machi 10, 2022 amezungumza na wanahabari na kuelezea kuwa Yanga inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Somalia, siku ya Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar.

 

Manara amesema lengo la mechi hiyo ni kukusanya fedha kwa ajili ya kumsaidia mtoto Ally ambaye anaugua magonjwa Adimu.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment