FAMILIA ya Fuljesi Gerivas ya Mtaa wa Sokoni 1 jijini Arusha hatimaye imerudi ndani ya nyumba yao baada ya Global Tv kuripoti kuwa ilitolewa kinyume cha taratibu za kisheria.