×

Diamond: Zuchu Hajawahi Kuniangusha, Namuonyesha Upendo

Msanii maarufu nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa EP yake ya FOA ndio habari ya mjini, ameeleza kushangazwa kwake na baadhi ya watu wanapsema kuwa anatoka kimapenzi na msanii wake, Zuchu.

“Kuhusu kuhusishwa kutoka kimapenzi na msanii #Zuchu Diamond Platnumz amesema; “Kama kiongozi wa taasisi kumpost Zuchu ni kuonyesha upendo kwa sababu toka atambulishwe hajawahi kuiangusha tasisi ya wasafi.

“Kwa hiyo nina kila sababu ya kumpendelea kwenye baadhi ya vitu, ila kwenye jamii hawawezi kuacha kuwepo wanaozungumzia hilo ila kibiashara ipo vizuri,” amesema Diamond.

KUSIKILIZA #FOA EP INGIA HAPA ==> #FOAtheEP

Leave a Comment