Sabaya Aumwa Ghafla Akisikiliza Utetezi Wa Mshtakiwa Mwenzake-Video
March 17, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
KESI ya Uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Wenzake Saba imemaliza kusikilizwa hapo jana huku Sabaya akiugua ghafla mahakamani.