×

Ajali Yaua Wanne na Kujeruhi Tisa Dodoma, Basi la Geita Express Lagongana na Fuso


Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana Jumapili Aprili 3, 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga amesema ajali hiyo imetokea jana wilaya ya Chamwino mkoani humo.

Leave a Comment