×

Breaking: Watu Wafukiwa Na Kifusi Kigamboni, Zoezi La Uokoaji Linaendelea Muda Huu..

Taarifa iliyotufikia leo Aprili 3, 2022 ni kwamba watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi katika machimbo ya kokoto na mchanga, Mji Mwema, Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mpaka sasa zoezi la uokoaji linaendelea ambapo askari wa jeshi la polisi na maafisa wengine wapo eneo la tukio.

Leave a Comment