×

Rais Kenyatta na Mkewe Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mwai Kibaki

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki

RAIS Uhuru Kenyatta na Mkewe Margaret Kenyatta wawaongoza wakenya kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa zamani Emilio Stanley Mwai Kibaki.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akisalimiana na waombolezaji

Rais Kibaki alitawala nchi ya Kenya kati ya mwaka 2002 hadi 2013, amefariki akiwa na umri wa miaka 90.

 

Kifo cha Mwai Kibaki kilitangazwa na Rais wa sasa wa Kenya Uhuru Kenyatta ambapo alitangaza nchi itakuwa katika kipindi cha maombolezo kuanzia siku aliyofariki hadi siku atakayozikwa

Leave a Comment