
| POST | MWANDISHI WA TAARIFA RASMI ZA BUNGE II – 1 POST |
| POST CATEGORY(S) | HR & ADMINISTRATION |
| EMPLOYER | Parliament of Tanzania |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-05-05 2022-05-18 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekeishwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii.Kufanya uhariri wa awali wa nakala za majadiliano kabla ya kuziwasilisha kwa Wabunge husika; iv. Kuingiza masahihisho yaliyofanywa na Wabunge katika nakala za awali za Taarifa Rasmi za Bunge; v. Kuhifadhi nakala tepe za awali za majadiliano ya vikao vya Kamati za Bunge vi. Kufanya kazi nyingine za kiofisi atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Uhazili kutoka Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | PSS D |