
Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Tzs.1,255,316,060 Florian Valerian Massawe akishikilia mfano wa hindi baada ya hafla ya kukabidhiwa rasmi na SportPesa.
JP winner 8 3- Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Florian VAlerian Massawe akikabidhiwa rasmi mfano wa hundi ya Tsh. 1,255,316,060 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tarimba Abbas.

JP winner 8 4- Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tarimba Abbas , Mkurugenzi Mtendai Bodi ya michezo ya kubahatisha James Mbalwe, Mkuu wa kitengo cha michezo ya kubahatisha Shabani Mwanga wakimkabidhi mshindi wa Sportpesa Jackpot ya Tsh. 125,316,060 Florian Valerian Massawe.