×

Kim Kiduku: Mkorea Mbabe wa Makombora ya Nyuklia Yanayoitikisa Marekani -Video

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

 

Kim Jong Un, ni rais mbabe kutoka Korea ya Kaskazini. Ni mbabe kwelikweli. Anachojivunia zaidi ni makombora ya nyuklia aliyonayo, kulipua makombora ndiyo furaha yake.

 

Ubabe wake amerithi kutoka kwa mababu zake. Marekani wanamfahamu vizuri Kim, anawachachafya kweli. Historia ya maisha yake imejaa mambo mengi ya kutisha ya kufurahisha na Mwalimu DENIS MPAGAZE.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment