×

#Live: Mbanano Bungeni, Wabunge Wacharuka Kwa Maswali Mazito, Mawaziri Wanajibu…

Bunge la 12 mkutano wa 7 umeendelea leo jijini Dodoma, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuhoji maswali kwa serikali, na kuchangia hoja zao katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2022 / 2023.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment