The House of Favourite Newspapers

Baadhi ya Matukio ya Kukumbukwa kwa Mwaka 2015

0

1.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Jakaya Kikwwete akisalimiana na Rais wa Uganda , Yoweri Mseven baada ya kumaliza mda wake.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda wake.2.Mama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mmewe,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuachia kijiti cha uraisiMama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mumewe, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete  mara baada ya kuachia kijiti cha uraisi3.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku hiyo ya Novemba 5,2015.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku ya kuapishwa kwa Rais Magufuli Novemba 5, 2015.4.Tukio la maji kuja daraja la jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.Tukio la maji kujaa katika daraja la Jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.

5.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.6.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Kikwete akiwapungia mkono wa kwaheri baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye hafla hiyo ya kuapishwa rais mpya .Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Kikwete akiwapungia mkono wa kwaheri baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye hafla ya kuapishwa rais mpya .7.Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni walivyoonekana kufanya usafi Desemba 9,2015.Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni waliojitokeza kufanya usafi Desemba 9,2015.8.Zoezi la uchukuaji vidole lilivyoonekana.Zoezi la uchukuaji vidole (BVR) lilivyoonekana.9.Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar walivyoonekana kujipanga mstari kwa ajili ya kujiandikisha kupata vitambulishao vya kupigia kura.Baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar walivyoonekana kujipanga mstari kwa ajili ya kujiandikisha kupata vitambulisho vya kupigia kura.10.Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe (wapili kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mhe.Lowasa.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mhe.Lowasa.mabasi1Baadhi ya mabasi yalivyoonekana katika stendi kuu ya mabasi Ubungo baada ya kugoma.

Mwaka wa 2015 umepita na huu ni 2016. Lakini ni ukweli ulio wazi kwamba 2015 umetuacha na kumbukumbu ya matukio mbalimbali ambayo yaliitikisa nchi yetu.

Huenda yapo mengi lakini hapa chini nimekukusanyia yale ambayo yalikuwa ‘hot’ zaidi. Fuatilia…

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply