×

Bodi ya Ligi Yatoa Orodha ya Majina Katika Vipengele Watagombea Tuzo… Soma Hapa

Baada ya Safari ya Msimu wa Mashindano wa mwaka 21/22 bodi ya Ligi imetoa orodha ya majina katika vipengele mbalimbali ambao watagombea tuzo zitazotolewa Julai 7 mwaka huu Jijini Dar es Salaam

Nini maoni yako kwa Walioteuliwa Katika Maeneo Mbalimbali?

Leave a Comment