×

NECTA Yatangaza Matokeo ya Mtihani wa Ualimu (DSEE) 2022, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2022 .

Matokeo hayo yametangazwa na Necta leo Julai 5, 2022.

 

YASOME HAPA MATOKEO YA UALIMU

Leave a Comment