×

Rais Samia Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa mikoa wapya leo Julai 28, 2022.

Uapisho utafanyika Agosti mosi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Leave a Comment