×

Nchi ya Japan Imewahimiza Vijana Kunywa Pombe Zaidi ili Kuchochea Uchumi waNchi

Pombe

KATIKA hali ambayo inaweza kukushangaza, Mamlaka za Japan zimewataka vijana wengi zaidi kunywa pombe, Kampeni hiyo imeanzishwa ili kuweza kuongeza uchumi wa nchi.

 

“Sake Viva!” ni  kampeni inatarajiwa kuja na mpango wa kufanya unywaji kuvutia zaidi – na kukuza uchumi.

Vijana nchini Japan wamehamasishwa kunywa pombe kwa wingi ili kukuza uchumi wa nchi

Katika hali hiyo imesemwa kuwa wazazi wa vijana wengi ndio wanaokuokunywa zaidi pombe kuliko vijana wenyewe.

 

Kundi linaloendesha shindano la mamlaka ya mapato linasema tabia mpya ambazo zilitokea wakati wa janga la Uviko-19 na idadi ya wazee imesababisha kupungua kwa uuzaji wa pombe.

 

Imeandikwa: Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa mitandao.

Leave a Comment