The House of Favourite Newspapers

Wolper akiri kujipendekeza kwa Diamond, Zari

0

JacklineWolper1Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’.

Imelda mtema
BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu.

Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.

“Kiukweli mimi ni binadamu, nashangaa ukiweka picha ya mtu ooh, anajipendekeza ni sawa najipendekeza ndiyo na wala siyo uongo lakini kuna mtu ambaye inamuhusu?” Alihoji Wolper.

Leave A Reply