The House of Favourite Newspapers

Aunt: Iyobo amenisitiri

0

aunty33Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.

IMELDA MTEMA
MANENO kuntu! Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amekiri hadharani kuwa anamshukuru mwandani wake, Moses Iyobo kumsitiri kwa kumpatia ujauzito kisha kujifungua na kuitwa mama kwani angezeeka bila mtoto.

Mwanadada huyo alisema kuwa Iyobo ni kidume wake wa mwaka 2015 maana ilikuwa si kazi rahisi kwa sababu alikuwa anaona miaka inazidi kusonga huku uzee ukibisha hodi.

Leave A Reply