Rais Samia Ashiriki Mazishi ya Malkia Elizabeth II Akiwa na Marais Wengine Duniani-Video
Global Publishers September 19, 2022 4,640 views 0 Comments
SHARE THIS:
BAADHI wa Marais wa nchi tofauti wameshiriki kwenye ibada ya kuaga mwili wa malkia Elizabeth II, iliyofanyika Westminster Abbey jijini London nchini Uingereza.