Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo – Picha
Global Publishers October 5, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality, Ali bin Ahmed Al Kuwari aliyeambatana na ujumbe wake, Doha nchini humo leo tarehe 05, Oktoba, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Ali bin Ahmed Al Kuwari, Doha nchini Qatar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Ali bin Ahmed Al-Kuwari aliyeambatana na ujumbe wake, Doha nchini humo tarehe 05, Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari mara baada ya mazungumzo yao, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari, Doha nchini humo tarehe 05 Oktoba, 2022.