×

Live: Rais Samia Anazindua Chuo cha Ualimu Kabanga Mkoani Kigoma Muda Huu-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yupo katika ziara ya kikazi mkoani Kigoma ambapo kwa sasa anafanya zoezi la kuzindua Chuo cha Ualimu mkoani humo.

Leave a Comment