Rais Samia Aongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.