Kutoka Mkoani Arusha eneo la Namanga wilayani Longido, msichana Zainabu Salmu amechanwa na viwembe usoni na aliyekuwa mpenzi wake, Goodluck Karume kwa madai kuwa alikuwa akimlazimisha arudieane naye baada ya Kuachana.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx