
Msanii wa Bongo fleva Baba Levo akipiga stori na Global Tv Online amemshauri aliyekuwa mke wa msemaji wa Yanga (aliyefungiwa) Haji Manara, Rushaynah kutulia ili aendelea kulinda heshima yake,
“Ruishainay ni mrembo ana umbo zuri atulie atapata mume mwingine nikipata nafasi hata mimi nitaruka naye”