×

Mwijaku, Baba Levo Watambulishwa Bungeni, Wapigiwa Makofi Na Wabunge – Video

Brighton Mwemba maarufu kama Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo February 02,2023.

Leave a Comment