×

Mshindi Wa Mchongo Ni Kuchanja Na ‘Stanbic Visa’ Alivyojizolea Mamilioni

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Omari Mtiga (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Ester Manase (wa pili kulia) wakikabidhi mfano wa hundi ya TZS milioni 5 kwa Lucia Tarama Minde (kushoto) mshindi Kampeni ya benki hiyo iitwayo Mchongo ni Kuchanja na Stanbic Visa, iliyoundwa kwaajili ya kuwazawadia wateja wa benki hiyo kwa kutumia kadi ya Stanbic Visa kwenye mashine za kulipa za kielektroniki pale wanaponunua bidhaa na huduma.

Leave a Comment