×

Osam Aliyegongwa Na Mwendokasi Azungumza Kwa Mara Ya Kwanza, Amwaga Machozi Kwa Uchungu…

Kufuatia kuruhusiwa kwa kijana Osam aliyepata ajali ya kugongwa na basi la mwendokasi kisha video za ajali hiyo kusambaa mtandaoni, Global TV imefunga safari mpaka nyumbani kwa Osam, Manzese Midizini jijini Dar es Salaam na kuzungumza na ndugu, jamaa na marafiki akiwemo baba yake mzazi na binti yake.

Leave a Comment