Katika #HardTalk ya Lilian Mwasha, yupo na Mchungaji Augustine Tendwa ambaye anasimulia mambo mengi kuhusu maisha yake ya uchungaji, likiwemo tukio la kugeuka bubu kwa muda wa miezi mitatu mfululizo.