×

Ndege Ya KLM Kushindwa Kutua Uwanja wa KIA Serikali Yatoa Tamko -Video


Kufuatia kushindwa kutua kwa ndege ya Shirika la KLM katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa KIA na kwenda nchini Uganda, Serikali kupitia Msemaji Mkuu wa Serikari, Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi juu ya suala hilo… ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

Leave a Comment