TUKIO la kutisha limetokea Tandale, Dar es saalam ambapo mwanamke (Hawa) amechomwa moto na mume wake kwa kummwagia mafuta ya taa, inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa miezi 5 wakati anachomwa moto…