Meneja wa msanii Mzee wa Bwax @Madolali amefunguka kwamba yeye hajui kupika kabisa hivyo mwanaume atakae mpenda lazima ampikie na kumfulia kwani kazi yake siyo hizo bali ni kumkanda kanda na kumpa mahaba kama yote.