×

Mstaafu Wizara Ya Fedha Apitia Mateso Mazito, Aeleza Ushirikiana WA Mkewe Ulivyomtia Umaskini – Video

Mohamed Omary (65) Mkazi Sala Sala Jijini Dar es salaam ambaye ni mstaafu Wizara ya Fedha Mwaka 1978 ambaye anapitia magumu sana kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Miguu pamoja na Ulemavu wa Kusikia

Akisimulia kwa uchungu Baba huyo anasema kwa sasa hana msaada wowote kutokana na hali ngumu anayoipitia huku akikosa mahali pa kuishi .

Namba ya Mohamed 0753 747434
Namba ukiwa na shida 0714 207395

Leave a Comment