
Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na winga Dickson Ambundo (27) raia wa Tanzania hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi msimu ujao.
“Tunamshukuru Ambundo kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.” – Yanga SC