×

Yanga Yamtambulisha Rasmi Kocha Wao Mpya raia wa Argentina – Picha

Yanga wamemtambulisha Rasmi kocha wao mpya MIGUEL ANGEL GAMOND raia wa Argentina 🇦🇷
Kocha huyo rasmi ataanza kazi Rasmi Julai 10 kambini Avic Town na Wachezaji watakaoingia kambini siku ya kwanza..

 

Leave a Comment