×

Duchu Asaini Kuitumikia Simba Mpaka 2026

Mlinzi wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, Simba SC mpaka Juni 2026.

Duchu (21) raia wa Tanzania anarejea klabuni hapo kutoka Mtibwa Sugar na atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachokwea pipa kuelekea Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season).

#EXCLUSIVE: AHMED ALLY – “TUNGEMCHUKUA MAYELE KUZIBA PENGO la BALEKE NDIO WANGEBWEKA VIZURI”…

Leave a Comment