×

Jonas Mkude Atambulishwa Rasmi Yanga, Apewa Jezi Namba 20 – Video

Jonas Mkude ‘Nungunungu’

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Jonas Mkude ‘Nungunungu’ kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Simba SC kufikia ukomo.

Mkude (30) raia wa Tanzania amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia Wananchi mpaka Juni 2024.

Leave a Comment