×

Nabi Atangazwa Kocha wa Mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat

Aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi (57) ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat kwa mkataba wa miaka miwili.

Raia huyo wa Tunisia aliondoka Yanga mwishoni mwa msimu wa 2022/23.

KISA RANGE: LULU na HAMISA WATOLEANA UVIVU! LULU ATOA la MOYONI | HOTPOT


 

Leave a Comment