×

Kinana: Kila Mwanachana wa CCM Anayo Haki ya Kuwa Kiongozi

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuendelea kukisemea mema chama chao kwa Watanzania ili kuendelea kuwa na imani nacho.

Kinana ameyasema hayo leo wakati wa kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Babati Mkoani Manyara wakati wa Muendelezo wa Ziara yake ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wananchi.

 

 

Akieleza namna ya upatikanaji wa viongozi ndani ya CCM Kinana amesema kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yeyote na kuwataka kujitokeza kushiriki Kugombea nafasi za uongozi wa nafasi mbalimbali.

Leave a Comment