×

Exclusive Video: Abdulrazak Afichua Mazito ya Diva, Shida Ya Kupata Mtoto


Habari iliyotoa mshtuko kwenye ulimwengu wa mastaa wa Bongo usiku wa kuamkia Januari 13, 2023 ni kuhusu sintofahamu ya ndoa ya mtangazaji wa Wasafi, Diva The Bawse na mumewe, Sheikh Abdulrazak Salum kwamba ni chali.

Pamoja na mshtuko wa wengi, lakini Diva na Sheikh Abdulrazak kwa sasa wapo pamoja kwa na ndoa yao haijavunjika!

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰

Leave a Comment