
Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa lori la kubeba mafuta limeanguka na kuwaka moto muda mfupi uliopita katika eneo la Kimara Kibo jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika ambapo juhudi za kupambana na moto huo zinaendelea, huku kizaazaa kikubwa kikiibuka kwa watumiaji wengine wa Barabara ya Morogoro.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
View this post on Instagram